Mlalo wenye afya

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Chakula ulacho jioni/usiku na jinsi utakavyolala ni viashiria vya afya njema kwa binaadamu.sasa tazama aina hizi za mlalo uniambia ipi yenye afya
 

Attachments

  • healthiest-sleep-style-400x400[1].jpg
    healthiest-sleep-style-400x400[1].jpg
    30.2 KB · Views: 154
Haya umeshiba liugali kwa maharage, ugali wenyewe umekula saa tatu usiku ulipotoka kwenye foleni ya bongo then una chandarua cha malaria haikubaliki, hapo hapo kuna jalala jirani na chumba chako, na wauza gongo mtaa unaofuata ndo ulale hivyo, tutaona itakuwaje.
 
Back
Top Bottom