Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Jan 19, 2015 #21 janeth1 said: hivi mama tangia lini baba kawa mganga wa jadi? au ndo mwaka mpya na mambo mapya? Click to expand... we mtoto usimuulize hilo swali mama yako. Baba yako ni mganga toka zamani sana,ila mwaka huu atauza siunajua tena mwaka wa uchaguzi huu . . . .
janeth1 said: hivi mama tangia lini baba kawa mganga wa jadi? au ndo mwaka mpya na mambo mapya? Click to expand... we mtoto usimuulize hilo swali mama yako. Baba yako ni mganga toka zamani sana,ila mwaka huu atauza siunajua tena mwaka wa uchaguzi huu . . . .
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jan 19, 2015 #22 Idd Ninga said: we mtoto usimuulize hilo swali mama yako. Baba yako ni mganga toka zamani sana,ila mwaka huu atauza siunajua tena mwaka wa uchaguzi huu . . . . Click to expand... haaa nilikua sijui, we alikutibu nini ukapona? my dad Ntuzu kuna mteja wako huku njoo... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Idd Ninga said: we mtoto usimuulize hilo swali mama yako. Baba yako ni mganga toka zamani sana,ila mwaka huu atauza siunajua tena mwaka wa uchaguzi huu . . . . Click to expand... haaa nilikua sijui, we alikutibu nini ukapona? my dad Ntuzu kuna mteja wako huku njoo...
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Jan 19, 2015 #23 Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Jan 19, 2015 #24 utafiti Shemeji yangu Ntuzu kumbe ni bingwa wakutibu magonjwa sugu Tanzania?? Hongera sana kaka. Ntuzu Alafu wewe ntakunyang'anya dada yangu. HoneyFaith Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Cc: miss Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti Shemeji yangu Ntuzu kumbe ni bingwa wakutibu magonjwa sugu Tanzania?? Hongera sana kaka. Ntuzu Alafu wewe ntakunyang'anya dada yangu. HoneyFaith Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Cc: miss
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 19, 2015 #25 Kumbe jamaa kigagula....
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,879 Jan 19, 2015 #26 janeth1 said: haaa nilikua sijui, we alikutibu nini ukapona? my dad Ntuzu kuna mteja wako huku njoo... Click to expand... My douta huyo nilimtibu kifafa..... Honey Faith said: Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Click to expand... Dada yangu mambo yakibana unajaribu mbinu ingine....alafu dada nina dawa ya mapenzi njoo nikupe umdhibiti Rogie Tee Bag said: utafiti Shemeji yangu Ntuzu kumbe ni bingwa wakutibu magonjwa sugu Tanzania?? Hongera sana kaka. Asante Mkuu Ntuzu Alafu wewe ntakunyang'anya dada yangu. HoneyFaith Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Cc: miss Click to expand... kabanga said: Kumbe jamaa kigagula.... Click to expand... Yani km nyie watu wa KG nawafagia sn. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
janeth1 said: haaa nilikua sijui, we alikutibu nini ukapona? my dad Ntuzu kuna mteja wako huku njoo... Click to expand... My douta huyo nilimtibu kifafa..... Honey Faith said: Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Click to expand... Dada yangu mambo yakibana unajaribu mbinu ingine....alafu dada nina dawa ya mapenzi njoo nikupe umdhibiti Rogie Tee Bag said: utafiti Shemeji yangu Ntuzu kumbe ni bingwa wakutibu magonjwa sugu Tanzania?? Hongera sana kaka. Asante Mkuu Ntuzu Alafu wewe ntakunyang'anya dada yangu. HoneyFaith Kumbe kaka Ntuzu nawe umooo eeeehhh!!! Cc: miss Click to expand... kabanga said: Kumbe jamaa kigagula.... Click to expand... Yani km nyie watu wa KG nawafagia sn.