Mama mkwe shikamoo. Hivi mbona simuoni mkwe kule jf Dr?
Hahaaa mkwe mbona liko poa tu?
hivi mama tangia lini baba kawa mganga wa jadi? au ndo mwaka mpya na mambo mapya?
Hahahaa hapana douta baba yako wewe si mchungaji? Huyo ni kaka yake wa kwenye ukoo
Alafu wewe ntakunyang'anya dada yangu.
Khaaa ?????? Kulikoni shemeji
Teh teh pole
Umeenda kusema nini huko??
Aaah shemeji unanionea...niseme nini mie
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................hii kali
Sasa mbona shemeji ameamka vibaya ivo??
Hili bango lipo mama john, maeneo ya kujijidai ya Heaven on Earth