Uzungu unawaharibu limbukeni aisee
Mkwe hotelini?nyie Wazungu?au Sijaelewa?
Hapo sawa
Wadada wengine wameshauri akomae aweke mkwara asikubali mama yake apelkwe guest/hotel for 3 weeks wakati chumba kipo, ingawa ni cha ku -share na mtoto.
What is the etiquette here?
mawazo yenu!
Happy Friday.
Tukishindwa jibu I resort to the internet for answers.
Scenario:
Mzazi (bibi) anatoka mbali kuja kusalimia binti na familia yake (mume + mtoto). Mume anaweka mkwara akae hotel. Ni sawa?
Kama compromise nilishauri kama mume anataka hotel basi alipie yeye, at least yule mama asione kama ametengwa au hayuko welcome. Wadada wengine wameshauri akomae aweke mkwara asikubali mama yake apelkwe guest/hotel for 3 weeks wakati chumba kipo, ingawa ni cha ku -share na mtoto.
What is the etiquette here?
mawazo yenu!
Happy Friday.
Kuna mambo ya privacy hapo hususan kama living quarters ni ndogo.
Kwa hiyo sioni ubaya hasa ukizingatia kwamba mume kwa upande wa utamaduni wake (kwa mujibu wako siyo mbongo na si Mwafrika) in-laws kufikia hotelini kama wamekuja kuwatembelea si mambo ya ajabu.
Jaribu kwa kadri ya uwezo wako (kama ni wewe) kumwelimisha mama kuwa asi-take offense na kama ni mwelewa basi ataelewa tu.
Mimi kwa mama yangu ilibidi nimweleweshe vizuri kuhusu binti yangu na pet peeve yake ya kutopenda chakula chake kishikwe kwa mikono na watu wengine (jambo ambalo hata mimi niko hivyo hivyo ila kwa sababu nina exposure zaidi ya mwanangu huwa najua zaidi jinsi ya kukabiliana nalo).
Kwa upande wangu bibi mtu alielewa na hakuchukia. Uzuri na yeye ana exposure kubwa tu ya tamaduni na watu wa aina mbalimbali hapa duniani.
kuna ulazima gani wa kulazimisha kuja kusalimia wasiokuhitaji??siku hizi kuna mawasiliano na maisha yenyewe hayaeleweki!kama ameshaona hayo basi hakuna haja ya kung'ang'ania kuja mjini abaki tu kijijini....