mkwara wa UDA

tusubiri tuone, hiyo ni mipango bado utekelezaji.
 
tusubiri tuone, hiyo ni mipango bado utekelezaji.

wanakumbuka shuka kumekucha!, baada ya muda si mrefu jijo la dar litajaa dart, uda watakuwa nje ya mji,
 
Hivi ni kwanini tunang'ang'ania sana kuingiza mlima k/njaro ktk maajab 7 ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! Unajua hii ni nchi ya kwanza ambayo watoto wa darasa la 7 wanahitimu bila kujua kusoma & kuandika, ila wanafaulu mitihani? kwanini tusitumie hayo yawe maajabu ya kwanza ya dunia? TAFAKARI."....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…