Mkwara Umesaidia!!!

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
Kuna kitu sijaelewa bado, Kama hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite au ukila Na kipofu usimshike mkono. Kwa faida ya nani lakini]

Leo

 
Waandishi wa habari nao siku hizi kutoa habari hata kama ya kweli imekuwa ngumu kupimwa mkojo nje nje siku hizi
 
Hivi vichwa vya habari muda mwingine haviendani na content,wanastahili kabisa kupimwa mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…