Mkuu wa wilaya ya Itilima, bwana Benson Kilangi ametembelea kata ya Chinamili kijiji cha Nanga katika hatua za kutatua kero zinazowakabili wananchi. Pia bwana Kilangi amewataka watendaji wa serikali kutatua migogoro ya ardhi pamoja na ya wafugaji na wakulima.