Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,702
Nimeingia ktk kisiwa hiki na kupokewa na wanywa gongo! Gongo! jamani kwetu ni gongo la mboto lakini hili la gongo la ukerewe nimeshangaa. Ninapouliza naambiwa OCD na hata mkuu wa Wilaya ni kama walisharuhusu unywaji huo.
NI kweli kwamba viongozi hawa na watendaji munabariki unywaji huu wa gongo tangu asubuhi hadi asubuhi?
NI kweli kwamba viongozi hawa na watendaji munabariki unywaji huu wa gongo tangu asubuhi hadi asubuhi?