mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nilitegemea Mkuu WA Wilaya ya Kinondoni angeanza Kazi yake mpya Kwa kutembelea maeneo yenye kero kubwa Kwa wananchi wa kinondoni lakini badala yake amekimbilia Clouds TV.Nadhani watanzania tulimshuhudia Mh.Magufuli baada ya kuingia Ikulu alidiriki kwenda Wizara ya Fedha Kwa miguu.Wananchi tulitarajia MKUU wa wilaya angeanza hata kukagua Barabara zisizopitika, masoko yote, Shule za msingi Na sekondari ili apate changamoto kuliko ziara isiyo Na tija Kwa wananchi wa Kinondoni.Mkuu hebu zungukia wilaya yako tuna kero nyingi.