Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Ukisoma kwa makini hapo utagundua kuwa mkuu huyo wa wilaya anakiri kuwa kuna ukame na njaa, ila anasita kulizungumzia ili kulinda kibarua chake.
Inasikitisha sana mkuu.Manina zake huyo DC... yaani kamnanga Mheshimiwa LIVE!!!!!! Yaani hiyo ni sawa na kusema "... bhana eh, sikiliza we jamaa... yaani hapa ni majanga matupu lakini naogopa kuleta fyoko fyoko nisije nikafyokolewa!!!"
DC huyu nimemshangaa sana, hivi kweli Rais anajua njaa ya Mvomero kuliko yeye DC? Sasa anaposhindwa kuwasemea wananchi wa wilaya yake ana maana gani,hivi cheo ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine?ndio viongozi wetu hao wachumia tumbo, ni bora watu wafe ili mradi asiseme ukweli
Ni vizuri kusimama na kuhesabiwa/Its good to stand out and be counted!DC huyu nimemshangaa sana, hivi kweli Rais anajua njaa ya Mvomero kuliko yeye DC? Sasa anaposhindwa kuwasemea wananchi wa wilaya yake ana maana gani,hivi cheo ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine?
Nadhani mkuu, wapo kwenye kundi la kuitwa mh na kupigiwa salutiHivi mkuu wa wilaya anapigiwa saluti?
acha kabisa mkuu! Hebu jikumbushe hii Mkuu wa wilaya ya Mvomero matatizoniDC huyu nimemshangaa sana, hivi kweli Rais anajua njaa ya Mvomero kuliko yeye DC? Sasa anaposhindwa
kuwasemea wananchi wa wilaya yake ana maana gani,hivi cheo ni muhimu kuliko maisha ya watanzania wengine?
Tujiongeze wakuu !huyo DC ni wa kipongezwa kwa kusema ukweli kiaina ni kazi ya wana habari kupekenyua zaidi!Eti naipenda saluti! Kumbe heri wananchi wateseke kwa njaa yeye aendelee kupigiwa saluti? Ama kweli twafwaaa!