Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Mkuu wa wilaya ya Geita amepiga marufuku utoaji Wa vibali vya waganga Wa jadi maarufu kama masangoma kutokana na upigaji ramli chonganishi zinazosababisha mauaji ya raia.
Akiongea kupitia ITV habari saa mbili usiku, mkuu huyo amesema kibali cha mtu kuwa mganga wa jadi kitatolewa ofisini kwake baada ya kuwapima Kama wanaweza kutibu kweli.
Jambo gumu ni namna mkuu wa wilaya atakavyo wapima kujua Kama ni wataalamu kweli atafanyaje?
Au na yeye ni mtaalamu wa Anga? Ikiwa hivyo itakuwa kazi rahisi Sana kwake au aende kuchukua kozi na yeye Sumbawanga wiki mbili.