Michael Mwakyusa
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 306
- 55
Isije ikawa ni walimu wanalipza kisasi!tangu lini mkuu wa wiliya akkamata toya?safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
SAFI SANA...
Kilichobaki ni kwa hawa ma askali wanaomlinda mzee wa maruani pale magogoni kumpiga risasi..
Kazi ya mkuu wa wilaya ni kukijenga chama ndni ya wilaya husika. Napia ni kuhakikisha unatengeneza mazingira ya kudhoofisha upinzani kwenye wilaya yako.Naomba yeyote anifafanulie: hivi kazi za wakuu wa wilaya ni nini kama shughuli zote za maendeleo ziko chini ya DED na wenyeviti wa wilaya au manispaa. Mtu akikosa kazi anajaribu kushika huku na huko angalao aonekane anafanya kitu hata kama hakina tija. Kwa nini alaumiwe. Matokeo yake ni kukutwa na dhoruba isiyotarajiwa.
Maaskari wetu inabidi wawaige wale wa Congo walivyomwondoa Kabila 1.Abdallah Zombe, itika naaam!
mbona habari zinapotosha? aliyepigwa ni yupi sasa, dc ama das? chonde chonde waandishi wa habari!!
good news! na watapigika sana mwaka huu, wananchi tushachoka na mapembe yao, mwaka wa 50 sasa tunanyanyasika dah! thanx jwtzAmini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.
Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
aliyepigwa ni yupi mkuu? ama nawewe unashangilia tu kama mbio za mwenge?Safi sana vijana JWTZ, mgevunja mbavu na miguu kabisa. Na sasa tutawapa kazi ya kuwapiga bakaro mafisadi wote mkianza na baba la mafisadi Mkapa.
ahsante kwa taarifa rasmi kamandani das aliepigika sio dc.
Yes,zawadi stahiki juu ya kuingilia kazi zisizo muhusu!!! Wanaviburi sana kwa kuwa wameteuliwa ma mkuu wa kaya,so hawatishiki kabisa,kichapo ni zawadi tosha!!!
mwache APUMZIKE KWA AMANI
Hao maskari nawapa hongera sana wafanyehivyo hata wanapo onamali za uma zina chukuliwa wagawe kichapo kama huyo mkuu wa (w)