Mkuu wa nchi 'kununua' first lady

Berlusconi ni kiboko, ndio maana anapigwa na kuvunjwa meno
 
Berlusconi ni aina ya viongozi wa kipekee... anasongwa na matatizo kibao lakini nasema yeye peke yake ndio anaiweza Italy...wacha tuone hiki kituko chake kitamfikisha wapi.
 
Hapa kwetu piga na kuvinja meno ya pinda uone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yote haya ni ubinadamu tuuuuuuuuuu?? hata ukiwa nani kuna zile characteristics ambazo zitakufanya uwe kama binadamu yoyote mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…