Wadau,
NAOMBA NISAIDIWE ILI NIJUE, JE MKOA UNAWEZA KUKAA BILA MKUU WA MKOA KWA KIPINDI GANI HASA ( labda kwa mujibu wa katiba) ??,, NAPATA TAABU KUJUA NI VIPI MAENDELEO KUFIKIWA HARAKA KWA WANANCHI IKIWA RC ANAENDESHA MIKOA 2 AT ONCE TENA KWA ZAIDI YA ROBO MWAKA.
1. Je, hakuna wananchi wenye kumudu nafasi hizo?
2. Je, ni hatua (labda) za kupunguza budget za hao wakubwa wa mikoa?