Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa mkoani humo

Huyo nae hajui maana yasiasa,hana mamlaka Hiyo,amekiuka katiba, amejisahau kuwa ni kiongozi wa umma anaepaswa kuwatumikia wananchi na sio chama, siasa ni kazi na vyama vinatakiwa kutoka mrejesho kwa wananchi..
 
kwa sasa nchi inaongozwa kwa matamko ya viongozi na sio katiba tena mkuu...
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe Steven Kebwe
amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa mkoani humo, na kuahidi kuwachukulia hatua watakaokaidi.

je na yule wa Dodoma kwanini asifanye kama huyu wa morogoro?
Nini maoni yako?

source EATV
Kunguru muoga daima ukimbiza bawa lake
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kebwe Steven Kebwe
amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa mkoani humo, na kuahidi kuwachukulia hatua watakaokaidi.

je na yule wa Dodoma kwanini asifanye kama huyu wa morogoro?
Nini maoni yako?

source EATV
Baada ya kupigwa chini uwaziri sasa ameona amfurahishe bwana mkubwa?
 
Namsubili na mkuu wa mkoa wa dodoma naye apige marufuku mikutano ya siasa ktk mkoa wake ili atumbuliwe kweupe
 
Kama katiba imewekwa pembeni kila mtu afanye yake bila kufuatana
 
Mwaka huu mbona tutaona mengi... Kwa hiyo ametumia kfungu gan kuzuia? Je kuna tishio la usalama au ipi sababu ya kuzuia.. #kukurupuka ndo mtindo cku iz mtu akiamka kajadiliana na mkewe basi ndo inakua sheria.. I love u tanzania.. Kila mtu ni mtunga sheria
 
Njia Sahihi Ya Kumaliza Haya Yote Sio Kuzuia Mikutano Ya Kisiasa Ila Ni Kufuta Tu Mfumo Wa Vyama Vingi Ili Tujue Moja. Maana Hakuna Sababu Ya Kudanganyana Kuwa TuNa Mfumo Wa Vyama Vingi, Wakati Vyama Vyenyewe Vinapigwa Vita Kama H.I.V
 
Huyo nae hajui maana yasiasa,hana mamlaka Hiyo,amekiuka katiba, amejisahau kuwa ni kiongozi wa umma anaepaswa kuwatumikia wananchi na sio chama, siasa ni kazi na vyama vinatakiwa kutoka mrejesho kwa wananchi..
Kafuata kauli ya mkuu wake
 
Back
Top Bottom