Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala Akisikiliza na kutatua kero za Wananchi

Umeona watendaji wa halmashauri wanavyotakiwa kusimamiwa?
Ni ubabaishaji mtupu, hawa wakifukuzwa kwa kutumbuliwa , je tutailaumu "system"!
Bado kunasafari ndefu sana hadi kufikia raia wa nchi hii kupata haki yake bila kuzungushwa na kusumbuliwa.
Je fidia hizo ingekuwa zimekengwa kwao hao viongozi wa halmashauri, ingechukua kipindi kirefu namna hiyo bila kujilipa?
 
Ni kweli bado sana
 
Back
Top Bottom