Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda azindua magari ya usafi

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
16,054
11,567
Hongera sana RC haya ndio tunataka sio kutuwekea madampo ya wilaya
 
Hii kampuni ya kukusanya taka ilishinda lini zabuni na kupewa hii kazi.

Bei za ni kubwa mno kila duka wanataka 20, 000 kwa mwezi na bado wanataka ulipie store 30, 000 kwa mwezi yaani taka peke yake watu wanatakiwa kulipa 50, 000 kwa mwezi.

Walikaa na nani kupitisha hizi bei.
 
Hapa ndipo Meya anatakiwa apaanishe, hivi kuna mwanachi ataweza kulipa hizo ada, je mzabuni alipatikana kwa kufuata taratibu za manunuzi? Isije hizi mbwembwe zoooote zikawa ni jipu!
 
Baada ya mkwere kumaliza miaka yake kumi sasa Na wewe akili zako zimeludi,sasa una ona mabaya wanayo fanya watawala!
 
Hii kampuni ya kukusanya taka ilishinda lini zabuni na kupewa hii kazi.

Bei za ni kubwa mno kila duka wanataka 20, 000 kwa mwezi na bado wanataka ulipie store 30, 000 kwa mwezi yaani taka peke yake watu wanatakiwa kulipa 50, 000 kwa mwezi.

Walikaa na nani kupitisha hizi bei.
Nyie mlivyokuwa mnatafunia futari ikulu awamu iliyopita ni kikao gani kilichoruhusu kufanya ilkulu masijid
 
Hapa ndipo Meya anatakiwa apaanishe, hivi kuna mwanachi ataweza kulipa hizo ada, je mzabuni alipatikana kwa kufuata taratibu za manunuzi? Isije hizi mbwembwe zoooote zikawa ni jipu!
ndio maana nilisema nchi hii inamafunza watu wanaishi na kuneemeka na taka, RC Makonda katishia kuleta wachina tayari maroli mapya yameletwa, sasa wasiishie kuleta maroli tu walete na magari ya kufagia mchanga barabarani na mitambo ya kuchakata taka hawawezi wachina waje, uwezo wanao ni kuchezeana tu.
 
Hii kampuni imepitishwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu hamna vikao vyovyote vya madiwani kushiriki kuipitisha hii kampuni mbaya zaidi bei zao ndiyo msiba kwa wananchi mtu ana kibanda cha Tigo Pesa alipe taka 20, 000 kwa mwezi.
 
Haya mambo ndio anapaswa ayafanyie kazi meya wa ukawa, cha ajabu analeta habari za kupaki magari kongowe tuje mjini kwa bodaboda.
 
Back
Top Bottom