CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 285
Nilichokuwa najua M4C imeandaa mkutano wake nje ya mji kabisa maeneo ya mnadani sasa na hiyo bado inawakera, na kwanini mpaka maandalizi yakamilike ndipo watoe amri ya kuzuia basi ngoja tusubili tuone
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.
Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA wajitokeze kiama chao watakiona.
Tayari Ulinzi mkali kuanzia usiku huu umeimarishwa huku Magari ya Kuwasha pamoja na Defender zaidi ya 100 zinaranda randa kila kona.
Sababu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa: '' Bunge linaendelea....''
Polisi: ''....mchungaji Mwakasege amewahi UWANJA kabla ya CHADEMA...''
Source: WAPO FM.

Hayo maandamano yenu kafanyieni Himo, Kilimanjaro.
Jk si alisema chadema ni chama cha msimu 2010 kipindi cha uchaguzi leo kinafanya siasa wanakataa nakutafuta sababu za kipuuzi sasa mkutano na bunge wapi na wapi.
Hayo maandamano yenu kafanyieni Himo, Kilimanjaro.
Kama Mwakasege kawahi uwanja mapema wasimwingilie!
..............Ila kama wanataka.....AT THEIR OWN RISK!!!
maandalizi yalifanywa na polisi walipewa taarifa mapema mno.