NYACHA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 273
- 65
Kiukweli huyu mkuu wa mkoa wa Mwanza mi ananikera sana. Ni mkurupukaji katika kufanya jambo kinyume na maadili ya kazi. Kiongozi mzuri hakurupuki. Leo utasikia kasimamisha manesi mara walimu na wengine kibao. Kila kwenye media ni yeye tu.
Kilichoniumiza zaidi huyu mkuu wa mkoa in amri aliyoitoa juzi kati ya kukamatwa kwa walimu MWANZA eti kisa wanajihusisha na mapenzi na wanafunzi!!!! Kwa ushahidi upi lakini mpaka unawadhalilisha walimu?
Mapenzi huwa ni siri! wewe umejiridhisha kwa lipi? madaktari wamechukua vipimo na kuthibitisha hilo? Je, kama ni majungu tu ya wanafunzi au ya mtaani na ikigundulika kama sio kweli utawalipa nini waalimu hao kwa kuwadhalilisha walimu hao kwa jamii na familia zao kwa ujumla.?!
Ni kweli haya mambo huwa yapo, ila usikurupuke kwa majungu, jiridhishe hata kwa kuweka mitego sio kukurupuka eti na wewe uonekane unafanya kazi, eti na wewe unatumbua majipu!
Je, wewe sio jipu? 95% ya viongozi wa tangu awamu ya tano ni majipu tuuuu! Sasa hivi ndio mnajifanya kujitumbua kisiri siri. Rudisheni dhuruma zote mlizo hujumu wakati wa uongozi awamu ya NNE.
Mheshimiwa rais, viongozi wengi ulionao sasa waliokuwepo tangu uongozi wa awamu ya NNE nao in MAJIPUUUU! Watumbue nao warudishe Mali za umma akiwemo huyu MKUU wa Mwanza.
MKUU WA MWANZA FANYA KAZI YA SERIKALI USIKALIE MAJUNGU YA KITAAA.