Mkuu wa mkoa Morogoro ajiandae kutumbuliwa baada ya kutimua wamachinga?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Nguvu yatumika kuwatawanya wafanyabiashara "Machinga"Morogoro baada ya kukaidi amri ya kuondoka kwa hiari katika maeneo yaliyozuiliwa kufanya biashara.
Hapa ipo hatari ya watu kutumbuliwa kwa kukiuka agizo la Rais kuwa,Wamachinga wasibugudhiwe.Wafanyebiashara popote.
 
Ala kumbe hata mahospitalini wafanye biashara na mabarabarani pia

Alisema wao ndio wamempa kura wafanye biashara popote na asitokee mtu kuwasumbua mpaka yeye mwenyewe atakavyo amua vingine.
Unajuma maana ya wafanye biashara popote?
 
Haea machinga hawa bebeki
Mudamwingine wanafanya mambo yasiyo stahili kufanywa na mwenye akili timamu.
Hakuna atakaye vumilia ujinga wao
 
Alisema wao ndio wamempa kura wafanye biashara popote na asitokee mtu kuwasumbua mpaka yeye mwenyewe atakavyo amua vingine.
Unajuma maana ya wafanye biashara popote?

Wacha kuzusha
unapata faida gani
mlikuwa wawili pekee wakati anahutubia?
 
yaan kwa msisitizo aliotoa mkulu kuwa wasibugudhiwe bado kuna mteule wake anaekaidi,!!!!! this is an insult
 
Yani kama pale kutoka Boma Road kupitia Islam kuelekea Wami NMB ile barabara ni kama imefungwa....wamachinga wamefanya gulio pote pale. Hata kupita kwa miguu ni shida. Mwenye gari wala hawezi kuthubutu kuingia pale
 
Tunahitaji solution ya pamoja sio kila mmoja kuibuka na solution yake kwa hofu tu ya kunyimwa kura wakati wa uchaguzi. Utawala unaokosa integrated approach namna hii utaishia kuchekesha tu
 
Back
Top Bottom