Mkuu wa Mkoa anatoa Wapi Fedha Hizi??

GSM group
 
Haha ww hujajua, makonda anamwiga Reginald mengi, hlf mda si mrefu atafulia, sidhan kama anaweza i-maintain hiyo lifestyle kila mwaka Ngushi
Jamaa anamwaga mpunga kama njugu vile!
Ukimfurahisha kidogo tu million kumi mara gari!
Hizi million tano tano ndo usiseme
 
Ukimwangilia Manura kwa makini utagundua kuna kitu katamani na anakiangalia kwa utulivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…