Mkuu wa Mkoa anatoa Wapi Fedha Hizi??

Aiseee huyu jamaa kiukweli anaacha maswali Mengi kuliko majibu!
 
Piga kazi wewe acha wivu wa kike!
 
Tofauti na ukuu wa mkoa job nyingine aliyo nayo ani kibanda cha tigo pesa nyuma
 
Huyu bwana anagawa hela kama nzugu wakati shule zetu hazina hata vitabu
Acha nongwa
Makonda amejenga vyumba vya madarasa 425 hujahoji
Makonda ameleta makontena.zaido ya 20 kwa ajili ya wanafunzi na walimu,yalipotaifishwa ulishangilia
Anachofanya Makonda hata wewe unakiweza ukiwa RC,nenda tu kwa Mo muombe hela kwa masharti.ya kuwapa wachezaji wake uone kama atakataa
 
Pesa ya kuuza unga hiyo

Uyo jamaa ana ushirika na mfamasia flani kule Afrika kusini

Sidhani kama makonda ataweza kui-maintain hiyo lifestyle ya kugawa fedha kila mwaka..lazma itafika mahali atafulia tu

Au ndo kafara zake za kichawi anazotoa, maana huenda ukipokea hela yake, anachukua nyota yako (anakuwekea mikosi) Prince Kunta
 
Kuwa mkuu wa mkoa wa dar lazima uwe na mahoka, huwezi ongoza dar kama unaongoza mikoa ya mazao ya chakula na biashara.
Dar ina swaga zake men.
Hey, Call me J.
 
Kama wewe ni Mkenya kusema ''Mwenye anahoji''. Badala ya ''anayehoji'' sikushangai ila sio kiswahili sahihi.

Lakini kama ni Mtanzania nitakuelewa kuwa una Uchuro.
 
Kajifunze logic mkuu. Hata angemjengea kila mwana dsm gorofa haina mana utumie mali ya umma kwa maslai binafsi. Ni wachache sana mnaofikiri mapato ya mkoa wa Dar ni ya mkuu wa mkoa.
 


Alitoa pia msaada wa milioni 500 taslimu kwa Bakwata.Kwa kweli ana nyota ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…