Mkuu wa majeshi ya Houthi ameangamizwa!!

Mkuu wa majeshi ya Houthi ameangamizwa!!

We mwongo kwanza hiyo picha ni mohd al houthi
Huyo Abu Abdul al-Malik al-Houthi mwenye Houthi naye inasemekana keshakabidhiwa wale Mabikira 72 awabikiri!!
 
Attachments

  • IMG_2059.jpeg
    IMG_2059.jpeg
    57.7 KB · Views: 11
Unapigana na mnyahudi amezaliwa kwenye vita hawajasoma kisa cha Daudi na Goliath
 
Brigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
Hiyo taarifa inasaidia nini kwenye tone tone?
 
Brigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
Uwega basi unaambatanisha na picha kwenye bandiko lako, unaliport itazani wote tuna undgu na huyo gaidi wa houthi???
 
Back
Top Bottom