Hao magaidi inatakiwa warudishwe kuzimu wakawahi bikiraHuku Trump kule Netanyahu. Kazi inaendelea
We mwongo kwanza hiyo picha ni mohd al houthiBrigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
HuyuWe mwongo kwanza hiyo picha ni mohd al houthi
Huyu sniper aliyekuwa amepewa hii mission aliitenda vizuri. Chuma cha kichwa alafu on the fore head meaning sniper alikuwa na taarifa kamili kabisa za mshakaji muda atakaotoka na atakapoelekea.Brigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
Hii habari sio ya kweliBrigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!
Serikali ya Yemen itakuwa ya kijinga sana kama isipotumia hii opportunity waliyopewa na USAInatakiwa sasa marekani iishapoti iliyo serikali ya Yemen ipambane na wanamgambo wa Houth
Unafikiri haijawahi kufanya hivyo yeye na mwenzake Saudi Arabia ? Haah migogoro ya mashariki ya kati ina kizungumkuti tofauti na unavyo jaribu kuitafsiri kirahi rahisi tu.Inatakiwa sasa marekani iishapoti iliyo serikali ya Yemen ipambane na wanamgambo wa Houth
Waliwahi kujaribu hivyo kabla hakuna cha faida walichopata.Serikali ya Yemen itakuwa ya kijinga sana kama isipotumia hii opportunity waliyopewa na USA
Kila siku nasema humu hamuelewi chochote ME, you know nothing about al HouthSerikali ya Yemen itakuwa ya kijinga sana kama isipotumia hii opportunity waliyopewa na USA
Brigedia Jenerali Hamdan Naji Saleh al-Jabali, afisa mwingine mkuu katika shirika la kigaidi la Houthi la Yemen aliuawa. Houth waanza kuonja joto la jiwe!!