Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabora amuomba radhi John Heche kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CHADEMA

M/Mungu ambariki huyu mkuu wa kituo cha polisi hakika anaonekana mtu wa kutenda haki.

Najua CCM watamfanyia zengwe huyu ila Kwa uweza wa M/Mungu atamfanyia wepesi.
 
Attachments

  • ercurry__20250611__1932675681738952939_1_19326744308130529280.mp4
    3.4 MB
Back
Top Bottom