Mkuu wa kikundi cha Taliban Mullah baradar’s vyombo vya magharibi vimenukuu anaweza kuwa mwanadiplomasia mkubwa

Hao taliban wamefanikiwa kuchukua madaraka kwa sababu wamarekani wamependa na wameamua iwe hivyo wasingetaka wasingeweza kwani waamerika wangewakabili kwa nguvu zote wala wasiingia viunga vya jiji la kabul.Ila wajiangalie wakianza kuweka nchi yao kuwa pepo ya vikundi vyenye siasa kali miaka mitatu mingi watafurushwa haraka sana na majet fighter ya wamarekani na washirika wao
Hapa umenena kweli.
 
Kwa wasiojua mwaka 2001 USA aliivamia AFGHANISTAN na kuipindua Serikali ya Taliban...na baadaye Wamarekani wakamuweka Karzai kuwa Rais wa mpito then akachaguliwa kuwa Rais...so Taliban wamerudisha Serikali yao.
Jamhuri ya kiislam imetud madarakani.
 
Gaidi ni gaidi tu.

Afghanistan inaenda kuwa makao makuu ya Alqaeda, ISIS, Al Shabab, Boko Haram n.k

Pia itakuwa kituo kikuu cha uandaaji na uuzaji madawa ya kulevya hasa HEROIN.
ISIS Na Taliban Ni maji Na mafuta...ISIS Ni wasalafi Hawa Ni Godknows what.
Lakini Alqaeda ndo itakuwa base yao ya kupikwa Na kupanga mashambulizi
 
Hao taliban wamefanikiwa kuchukua madaraka kwa sababu wamarekani wamependa na wameamua iwe hivyo wasingetaka wasingeweza kwani waamerika wangewakabili kwa nguvu zote wala wasiingia viunga vya jiji la kabul.Ila wajiangalie wakianza kuweka nchi yao kuwa pepo ya vikundi vyenye siasa kali miaka mitatu mingi watafurushwa haraka sana na majet fighter ya wamarekani na washirika wao
Marekani kawaachia kwasababu anapoteza Hela nyingi halafu hapati chochote...hata akikaa miaka 100 siku anayoondoka Tu Taliban wanachukua nchi, halafu mda wote kukaa huko Ni expensive Na anatumia Hela Za walipa Kodi...si Bora asepe Tu mapema
 
Kwa wasiojua mwaka 2001 USA aliivamia AFGHANISTAN na kuipindua Serikali ya Taliban...na baadaye Wamarekani wakamuweka Karzai kuwa Rais wa mpito then akachaguliwa kuwa Rais...so Taliban wamerudisha Serikali yao.
Naomba kujua kama Saddam Hussein alikua ni Taliban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom