Mkuu wa kikundi cha Taliban Mullah baradar’s vyombo vya magharibi vimenukuu anaweza kuwa mwanadiplomasia mkubwa

It seems Trump had a secret scheme to bring the taliban to power. Luckily, he was booted from the Whitehouse before he could install this evil regime in power.

Soon you will hear the role of Taliban in scheming terrorism against Iran.

IRAN IJIPANGE
 
Ukiwaangalia taliban wa sasa wamepikwa vizuri sana na wamemtii aliyewafundisha jinsi ya kutawala nchi. Yaani wanaokimbia ni kwa sababu ya mambo ya zamani ya taliban lakini hawa ni civilized taliban.
Nchi yao. wana maamuzi ya kujenga au kubomoa. Sio lazima wafuate itikadi za west ila lazima wajenge dhana ya kuaminiana ili waweze kujenga nchi
 
Ukiona ile video ya mama aliepigwa risasi hadharani barabarani baada ya kumswalia?
Ukiwaangalia taliban wa sasa wamepikwa vizuri sana na wamemtii aliyewafundisha jinsi ya kutawala nchi. Yaani wanaokimbia ni kwa sababu ya mambo ya zamani ya taliban lakini hawa ni civilized taliban.
 
Gaidi ni gaidi tu.

Afghanistan inaenda kuwa makao makuu ya Alqaeda, ISIS, Al Shabab, Boko Haram n.k

Pia itakuwa kituo kikuu cha uandaaji na uuzaji madawa ya kulevya hasa HEROIN.
iyo ndio biashara kubwa kule opium wanalima kama sisi huku tunavyolima mahindi sumbawanga na ruvuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom