nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 574
- 833
MKUU wa kaya, unawaamini sana Hawa watoto ndani ya ccm bado hawajakomaa kisiasa Na kiuongozi, waachwe kwanza, maana ni aibu kumuamini mtu alafu ndani ya siku chache anawekwa pembeni, kisa chenyewe ni ugomvi wa kujipendekeza vijana hao kwako ili mmoja umpende zaid,
Tabia za kiongozi ambaye hajakomaa ni hizi
1. Kutumia media kujitangaza kupitia cheo alicho nacho
2. Kujiona bila yeye taasis flan isingeweza , anaonesha umimi
3. Kujipendekeza kwa mkubwa kila wakati
4. Saa Nyingine kutumika kwa ajili ya wengine bila kujua madhara
5. Kutaka kuonekana amefanya Na anafanya sana Kazi
6. Kuwasemea wengine hadharan
7. Kutoheshimiana baina ya vijana wenzake labda dharau,
Duniani kote , vijana hawapewi maeneo muhimu uanza chini ya uangalizi,
Ulikosea sana kumpa NAPE uwaziri kisa alikuwa kwenye propaganda za chama,
Pia ukaharibu zaidi kumpandisha makonda Kuwa MKUU wa mkoa bila kujua sababu zilizompa ukuu wa wilaya, na kama kauweza ukuu w wilaya,
MKUU we we uliwaaminije vijana hawa watakupaka matope zaid Na wengine waja bado
Haya ni mawazo ya nchonga wa butiama