Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,157
- 222,028
Sijaridhika na " My take " yako , ushahukumu tayari .Kuna Habari kuwa mkuu wa IT pale TRA ambaye Boss wake ni miongoni mwa waliokwisha kutumbuliwa ametoweka tangu juzi tarehe 8/07/2016 na hajulikani alipo.
Inasemekana aliondoka asubuhi kwenda kazini na hakurudi Nyumbani. Habari zinasema simu yake ilikuwa hewani mpaka majira ya saa 10 jioni.
My take! Labda Wazee wa EFD na 7% wameamua kuanza kupoteza ushahidi mapema.
Rais pamoja na kutumbua majipu awe na mkakati wa kuwalinda mashahidi na watoa taarifa.
Kuwa wa kwanza ku comment!Tusubiri taarifa rasmi kutoka kwa familia na polisi
ishi kama shetani acha kulalamika ! umesikia wapi shetani analalamikaWatoweke tu ila uswahilini maisha yamesimama wananchi wanaishi kama wakimbizi, hawali. Wataasi!
Lugumi akamatwe na nani kuna watu hawakamatiki humu si umeiona mwenyewe, ushasikia JPM anazungumza kuhusu lugumi?, chezea lugumi weweeeeeeLugumi kakamatwa?
Eti tusijekua kama RwandaHii tabia ya watu kupotea potea iangaliwe kwa makini ni hatari. Tusije kuwa kama Rwanda
Kuna watu hawaguswi nchi hii!! TRA....Lugumi na aliepewa tender ya sare za polisi sijamsikia kama ameshapandishwa mahakamani!!!Hivi atakuwa amekwenda wapi?
mkuu unaghazabTanzania hakuna kinachoshika hatamu zaidi ya siasa tena bora hata ingekuwa siasa Bali ni siasa za kiharamia we can't step ahead any how. Siasa za Kikomunisti zimepitwa na wakati tazaneni hata China na Urusi wenyewe waliotufundisha siasa za kiharamia wameachana Nazo. Pathetic
Hopeless and a failure stt