mkwepa kodi mkubwa huyu bado anajenga urafiki na ufalme wa nagufuli
Kila kitu pesa..Mzee anaendesha bentley huyo,alimwagiwa tindikali lakini nkipiga naye picha naweza kuonekana mimi ndo nliemwagiwa tindikali.
Hahahahah ***** pesa ni sabuni ya roho na uso piaMzee anaendesha bentley huyo,alimwagiwa tindikali lakini nkipiga naye picha naweza kuonekana mimi ndo nliemwagiwa tindikali.
Mzee anaendesha bentley huyo,alimwagiwa tindikali lakini nkipiga naye picha naweza kuonekana mimi ndo nliemwagiwa tindikali.
hela kweli ni noma..
jamaa alimwagiwa tindi kali lakini karudi mzimaaa...
hapo angekuwa wa kutibiwa hospital zetu za bongo ingekuwa kilema au kipofu kabisa...
huyo ndio gsm mzee wa kila biashara...
kodi hawalipi na bado mnajipendekeza kwake...