Mkuu vp?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,504
Reaction score
18,069
Wanadai siyo mkazi wa ifakara. CHADEMA tumemsimamisha Peter Ambrose Lijualikali, kuwania udiwani kata ya ifakara iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha aliyekua diwani wa ifakara ndg Ramadhani Kiombile. Sheria inasemaje kuhusu mgombea udiwani? Nawasilisha
 
Wanapo sema sio mkazi halisi wanamaanisha kwamba haruhusiwi kugombea udiwani hapo kwa sababu sio mkazi wa kiasili wa hapo?! Hii itakuwa ni big time law blindness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…