Mkuu coach, ndio wachezaji wetu hao!!!

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
Hii ilikuwa kwenye bench la Taifa Stars majuma machache yaliyopita pale Namboole (Mandela) Stadium, Kampala!
 
Hii ilikuwa kwenye bench la Taifa Stars majuma machache yaliyopita pale Namboole (Mandela) Stadium, Kampala!View attachment 75629
Amesema hataki kuwatumia samatta na ulimwengu kwa sababu hawana nidhamu ,kwani hiyo amejua hii leo au wakati anaenda kampala kwenye cecafa?wale hawajali awatumie au laa.
 
unafiki unaambukizwa hadi kwa makocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…