"Mkuu" anaingilika labda washauri wamejijengea uoga au kutokujiamini

Umekazana ooh Chadema mbowe kauza nenda kamuulize Makonda style yakujikomba ikoje maana unawashwa sana wew Dada!
Kama wewe ndio wanashusha hadhi ya jamii forum. Linaonekana ni jukwaa la watoto wadogo wasioweza kudhibiti hasira na mihemko yao.
 
Chadema sio mama au baba yangu ila Tanzania ndio mambo yote kwangu. Leo nikiona Chadema hatuendani naiachilia mbali na kuwa chama chochote chenye kuendana na mawazo yangu lakini sio ccm.
Wewe unadhani kwa akili yako Mbowe angekuwa ana uwezo wa kuuza chama kuna watu makini kibao ndani ya Chadema nikiwapo mimi wangekubali kuendelea kuwapo humo? Hizo ni ngonjera zenu vuvuzela wa ccm baada ya kushindwa kuwa na hoja.
Back to the point Magufuli ni Rais kutokea chama chenu, mshaurini sio kumsifia kama mazuzu, hata yeye naona sasa ameshtuka kuwa sifa zenu ni za kijinga na akiharibikiwa mtamgeuka kama JK hivyo kaanza kuwatumbua ndani ya chama

Baada ya uchaguzi mlisema hamumtambui Magu
Leo imekuwaje!!!?

Kwanza wacha kufanya kusudi
Sio chadema ni Chagadema tumia akili.
 
Baada ya uchaguzi mlisema hamumtambui Magu
Leo imekuwaje!!!?

Kwanza wacha kufanya kusudi
Sio chadema ni Chagadema tumia akili.
Niliambiwa sifa namba moja ya Muha ni ubishi sikuamini, lakini kwako MOTOCHINI nimeamini kwa jinsi upendavyo ubishi. Nasikia Muha mmoja anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class kutoka Tabora hadi Kigoma bila kuchoka wala kunywa maji. Hongera Waha.
 
Haya njooni mchukue buku saba zenu
Wewe umeshakua za kwako tayari?. Katika ule mgao wa bilioni kadhaa zilizosababisha gia ibadilishiwe angani, na wewe umo au unatumika kama tarumbeta la harusi, shughuli ikiisha unaachwa ujae vumbi?.
 
Niliambiwa sifa namba moja ya Muha ni ubishi sikuamini, lakini kwako MOTOCHINI nimeamini kwa jinsi upendavyo ubishi. Nasikia Muha mmoja anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class kutoka Tabora hadi Kigoma bila kuchoka wala kunywa maji. Hongera Waha.
Duh Kaka Chakaza unaifanya wiki yangu ianze na vicheko. Muha mmoja anabishana mpaka na Biblia, anabishana na andiko takatifu, kaniacha hoi.
 
Tatizo la wasukuma kwa sasa mnaamini Magufuli ni Mungu, hana anachokosea, wanaokosea ni washauri wake na watendaji...

Jana kuna mtu aliumwa na mbwa wakati wanahangaika kupata ile sindano ya mbwa ikaonekana madawa ya rabies ni mojawapo wa yale madawa yaliyoadimika na serikali ya anayeshaurika imeshindwa kuagiza madawa. Sina hakika kama yule mtoto wa watu maskini ya Mungu atapona. Madawa hakuna wajameni
Bavicha mtajibeba mpaka 2025
 
Mangu mwema.Kama anashaurika au la mkamuulize msajili wa hazina wa zamani aliyeshauri vizuri sana na kitaalam kuhusu FDA si wote twakumbuka yaliyomkuta?
 
Mangu mwema.Kama anashaurika au la mkamuulize msajili wa hazina wa zamani aliyeshauri vizuri sana na kitaalam kuhusu FDA si wote twakumbuka yaliyomkuta?
Mkuu, kiongozi mkuu wa taifa ni mtu mwenye taarifa zote za nchi hii. Anapoongea inabidi wakati mwingine mshauri wake apime ni kwanini ameongea kama alivyoongea. Ile intellectual arrogance pia imemponza huyo uliyemsema.
 
Back
Top Bottom