Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
yaani nyinyi wa mjini tuu ndio mnakutana tena kwenye magorofa marefu namna ile, wale wa vijijini je? mmewaacha waende wakachote maji kwenye mito na kutwanga mtama, tafuteni namna ya kuwashirikisha na wao wa vijijini ili wan'gatuke kwenye umaskini
utuletee na picha hapa jamvini , okay CD
wapendwa wadada wa jf,
bwana yesu asifiwe sana/a'saaam aleykum.
Kuna mkutano wa wanawake wajasiriamali utakaofanyika jumamosi 8-10-2011 benjamin mkapa tower, ukumbi wa benjamini mkapa kuanzia saa 8 kamili mchana. Huu mkutano umeandaliwa na wanawake kutoka dodoma, arusha na dar es salaam, ambao wanafanya network marketing na wangependa kushiriki nasi.
Ni kwa wanawake tu. Kiingilio ni tshs. 5,000 tu. Kwa wale ambao watapenda kuhudhuruia, tafadhali nipigieni simu namba 0787/0757 212122 au 0655 447788. Caroline danzi. Nitawaconnect na muhusika mkuu. Sfitegemei kama wanawake wa humu ndani wanaweza kukosa 5,000/= ila kama kuna mtu ambaye anapenda kuja, budget imebana niko tayari kumlipia!
Wanawake karibuni sana, hizi fursa siyo za kuchezea.
Wasalaam cd
nata
mkuu ila hujasema tuje na kiasi gani cha pesa kununua bidhaa za forever living, make hapo ni forever living hakuna kingine,
ila kwa wanawake hapo mmewapata na mkiwaonyesha na cd za zile stori za kutunga za watu waliofanikiwa kwa kutembeza madawa mtakua mmemaliza kazi,.
Forever living tuko pamoja, ila tangaza na kilia mama aje na sh ngapi za kununua dawa za meno, shampoo, sabuni na kazalika

Theme ya mkutano wa jana ilikuwa (STRONG WOMEN), Inspirational WOMEN EVENT. Kukaa kimya ni kuzuri kuliko kuropoka. Siyo kila thread lazima uchangie.
Theme ya mkutano wa jana ilikuwa (STRONG WOMEN), Inspirational WOMEN EVENT. Kukaa kimya ni kuzuri kuliko kuropoka. Siyo kila thread lazima uchangie.
Bold: Hatuna tena mpya hapa.... ngoja nisogee kaunta nikainue moyo......!!!Wapendwa wadada wa JF,
Bwana Yesu asifiwe sana/A'saaam Aleykum.
Kuna mkutano wa wanawake wajasiriamali utakaofanyika Jumamosi 8-10-2011 Benjamin Mkapa Tower, ukumbi wa Benjamini Mkapa kuanzia saa 8 kamili mchana. Huu mkutano umeandaliwa na wanawake kutoka Dodoma, Arusha na Dar es salaam, ambao wanafanya NETWORK MARKETING na wangependa kushiriki nasi.
Ni kwa wanawake tu. Kiingilio ni Tshs. 5,000 tu. Kwa wale ambao watapenda kuhudhuruia, tafadhali nipigieni simu namba 0787/0757 212122 au 0655 447788. Caroline Danzi. Nitawaconnect na muhusika mkuu. Sfitegemei kama wanawake wa humu ndani wanaweza kukosa 5,000/= ila kama kuna mtu ambaye anapenda kuja, budget imebana niko tayari kumlipia!
Wanawake karibuni sana, hizi fursa siyo za kuchezea.
Wasalaam CD
Nata