Mkutano wa WANAWAKE Wajasiriamali! Jumamosi 8-10-2011 KARIBU wote tujumuike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa WANAWAKE Wajasiriamali! Jumamosi 8-10-2011 KARIBU wote tujumuike!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Caroline Danzi, Oct 6, 2011.

 1. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wapendwa wadada wa JF,

  Bwana Yesu asifiwe sana/A'saaam Aleykum.

  Kuna mkutano wa wanawake wajasiriamali utakaofanyika Jumamosi 8-10-2011 Benjamin Mkapa Tower, ukumbi wa Benjamini Mkapa kuanzia saa 8 kamili mchana. Huu mkutano umeandaliwa na wanawake kutoka Dodoma, Arusha na Dar es salaam, ambao wanafanya NETWORK MARKETING na wangependa kushiriki nasi.

  Ni kwa wanawake tu. Kiingilio ni Tshs. 5,000 tu. Kwa wale ambao watapenda kuhudhuruia, tafadhali nipigieni simu namba 0787/0757 212122 au 0655 447788. Caroline Danzi. Nitawaconnect na muhusika mkuu. Sfitegemei kama wanawake wa humu ndani wanaweza kukosa 5,000/= ila kama kuna mtu ambaye anapenda kuja, budget imebana niko tayari kumlipia!

  Wanawake karibuni sana, hizi fursa siyo za kuchezea.

  Wasalaam CD


  Nata
   
 2. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Caroline - Huo mkutano ni one off au ni wa mara kwa mara? Siwezi kuja with such short notice lakini tuko pamoja... naomba unishtue next time mnakutana.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ungetuelimisha theme ama hadidu za mkutano ungetusaidia sana.
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimepewa hizo taarifa kwa kuchelewa. Si mbaya nitawaletea kila yatakayojiri huko. Karibuni sana.
  CD
   
 5. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Huu sasa ni mfumo jike, mbona tunabaguana sana kina mama.
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mjasiria ki ukweli hata mimi sijapenda, hapa wanawake wanazingua ingekuwa kwa wanaume sasa hizi wameshanipigia simu nyingi na confirmation za attendance zingejaa kwa kwenda mbele! wanawake bado sanaaaaaaaa! tujitahidi tutafika tu hata kwa kujikongoja.
   
 7. R

  Richardbr Senior Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  inabidi tuanzishe men empowerment ya JF unless otherwise watuambie wa wanaume utakuwa lini
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani nyinyi wa mjini tuu ndio mnakutana tena kwenye magorofa marefu namna ile, wale wa vijijini je? mmewaacha waende wakachote maji kwenye mito na kutwanga mtama, tafuteni namna ya kuwashirikisha na wao wa vijijini ili wan'gatuke kwenye umaskini

  utuletee na picha hapa jamvini , okay CD
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanaume wa JF nina mpango wa kupita sememu ambazo wanawake wa kijijini hawafikiwi ili niweze kuwapa dondoo za kufika wengine walipo. Wanaume mtanisaidia? Ngoja nikapike wali, nikirudi hapa nina cha kusema na wanaume wanaotujali kama nyie mlioshare hii thread!
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hao wanawake wa vijijini utawaweza? mawazo yao yote yapo kufikiria kunaswa vibao na wanywa mkomboti
   
 11. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Siku hizi wana akili sana kaka, wako makini zaidi. Hata hivyo, inabidi tuwape somo waelewe. Na walioko mjini wanachapwa sema tu mambo ni mengi hawasemi.

  Kesho nakuna na kie nilichojifunza kwenye mkutano huu wa Women Networking!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Caro mkutano ulikuwaje? Mwanamke mie nilishindwa kufika.
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Oct 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu ila hujasema tuje na kiasi gani cha pesa kununua bidhaa za forever living, make hapo ni forever living hakuna kingine,

  ila kwa wanawake hapo mmewapata na mkiwaonyesha na cd za zile stori za kutunga za watu waliofanikiwa kwa kutembeza madawa mtakua mmemaliza kazi,.
  Forever living tuko pamoja, ila tangaza na kilia mama aje na sh ngapi za kununua dawa za meno, shampoo, sabuni na kazalika
   
 14. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama dada Caroline atakuja kutumwagia story za Forever Living products! Ngoja tusubiri tuone.

   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Network marketing 9/10 times ni scam, jihadhari.
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Theme ya mkutano wa jana ilikuwa (STRONG WOMEN), Inspirational WOMEN EVENT. Kukaa kimya ni kuzuri kuliko kuropoka. Siyo kila thread lazima uchangie.
   
 17. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "wise people talk because they have something to say, but .... talk because they have to say something"
   
 18. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #18
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa Caroline - are you saying you are glad ulienda au hii ni issue ya "no comment"?! Hiyo topic inaonekana maridadi lakini kwa rejesho lako hapo chini bado nimebaki gizani...

  Tuko pamoja!

   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nilienda, mrishonyumba naleta hapa by kesho jioni. Huyo komando huyo anasema mambo ya forever wakati mimi huko siko ndiyo nilikuwa namjibu.
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Bold: Hatuna tena mpya hapa.... ngoja nisogee kaunta nikainue moyo......!!!
   
Loading...