Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Wapendwa wadada wa JF,
Bwana Yesu asifiwe sana/A'saaam Aleykum.
Kuna mkutano wa wanawake wajasiriamali utakaofanyika Jumamosi 8-10-2011 Benjamin Mkapa Tower, ukumbi wa Benjamini Mkapa kuanzia saa 8 kamili mchana. Huu mkutano umeandaliwa na wanawake kutoka Dodoma, Arusha na Dar es salaam, ambao wanafanya NETWORK MARKETING na wangependa kushiriki nasi.
Ni kwa wanawake tu. Kiingilio ni Tshs. 5,000 tu. Kwa wale ambao watapenda kuhudhuruia, tafadhali nipigieni simu namba 0787/0757 212122 au 0655 447788. Caroline Danzi. Nitawaconnect na muhusika mkuu. Sfitegemei kama wanawake wa humu ndani wanaweza kukosa 5,000/= ila kama kuna mtu ambaye anapenda kuja, budget imebana niko tayari kumlipia!
Wanawake karibuni sana, hizi fursa siyo za kuchezea.
Wasalaam CD
Nata