Mkutano wa vijana ubungo riverside unaozungumzia changamoto za vijana ktk ajira mgeni rasmi waziri wa madini mkutano unaendelea. Update Mkutano umeisha pale maeneo ya riverside ulijumuisha vijana ote wahitimu na wanaoendelea na vyuo vikuu nchi ila kilichoboa wachangiaji wengi walibez kihitikadi za kisiasa wakaufanya mkutano kama wakisiasa