Mimi sitaki hata kuwasikia tunataka wanasiasa watumikie watu siyo kila kukicha kuandamana wakaandamane kibosho na kishumundu.Si lazima niende bali tumekuwa tukipata kila kitu humu JF
Wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye taarifa za kufanyika kwa mkutano wa UKAWA pale Jangwani Dar Es Salaam leo tarehe 5.5.2014 kama tulivyotangaziwa juzi. Naona mpaka sasa hakuna taarifa zozote. Au ndo wamenywea baada ya Nape kuwalipua kule Pemba. Nilijua tu kuwa hizi ni nguvu za soda. Makali yake yanaonekana wakati wa kufungua kizibo tu
Hakika Mkuu. Ila bahati nzuri watu wa bongo hawanaga simile. Hawapo tayari kusikiliza upuuzi wa watu wanafikiMimi sitaki hata kuwasikia tunataka wanasiasa watumikie watu siyo kila kukicha kuandamana wakaandamane kibosho na kishumundu.
Baada ya Kibanda Maiti, CCM tunaelekea Kibanda KaburiUngepewa taarifa ila umekuja kinafiki sana
Na sisi tutakuacha na unafiki wako
Huna haja ya kujuwa ratiba za ukawa
Maana hukawii kwenda na grunet
Hivi nikuulize baada ya ccm kibanda maiti wanaelekea wapi tena?
Ungepewa taarifa ila umekuja kinafiki sana
Na sisi tutakuacha na unafiki wako
Huna haja ya kujuwa ratiba za ukawa
Maana hukawii kwenda na grunet
Hivi nikuulize baada ya ccm kibanda maiti wanaelekea wapi tena?
Baada ya Kibanda Maiti, CCM tunaelekea Kibanda Kaburi
Mimi sitaki hata kuwasikia tunataka wanasiasa watumikie watu siyo kila kukicha kuandamana wakaandamane kibosho na kishumundu.
Mkuu, umewahi kumsikia Nape nnauye akijenga hoja popote anapohutubia magamba? Ikiwa wapinzani wake hawajasema kitu, ccm haina issue ya kuzungumza si bungeni si uraiani. Ndo maana wakajiita magamba, kwani issues ziko kwenye maggwanda daima kazini.Kwa nini mnasubiri kujibu hoja siku zote hamjengi hoja?
Hii inaonyesha mlivyo weupe kichwani
Hivi UKAWA nako kuna magwanda?Mkuu, umewahi kumsikia Nape nnauye akijenga hoja popote anapohutubia magamba? Ikiwa wapinzani wake hawajasema kitu, ccm haina issue ya kuzungumza si bungeni si uraiani. Ndo maana wakajiita magamba, kwani issues ziko kwenye maggwanda daima kazini.
kinachowaponza nyie ni kutumia mitusi badala ya kujibu hoja za UKAWA, hili ni tatizo kubwa ndani ya CCM ya leo.Hata wakija hatuendi ------- zao mafuriko yote haya halafu tukasikilize wahuni wa kazi gani.
Hata wakija hatuendi ------- zao mafuriko yote haya halafu tukasikilize wahuni wa kazi gani.