Kwa taarifa zilizonifikia jioni hii kutakuwa na mkutano mkubwa hapa jijini Arusha hapo kesho tarehe 8 saa 8 mchana!!Mkutano huo mkubwa kabisa utahudhuriwa na Mh Lissu;Mdee;Machali;Sugu;Lema;&etl pamoja na viongozi wa Chadema Arusha!!!Mkutano utafanyika katika kiwanja cha semunge karibu kabisa na soko la kilombero!!Tutawajuza update!!!Nyote mnakaribishwa
Wana JF wa Arusha karibuni kwa update kesho!!!!!!