M Masonjo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2010 Posts 2,724 Reaction score 1,119 Jul 5, 2015 #21 respect wa boda said: Masonjo Naona umeamua kututapisha wakati wa kula hapa, Hebu tutolee hizo picha zilizojaa ma.vu.zi na chupi zenye mrundikano wa chawa na kunguni kwa wakati mmoja.!! Watu wenyewe inaonekana wana aleji na Maji, Sabuni pamoja Dodoki..!! BACK TANGANYIKA Click to expand... Lipumba akiungana na ACT basi atazoa kura nyingi sana Kigoma, aangalie uwezekano huo!
respect wa boda said: Masonjo Naona umeamua kututapisha wakati wa kula hapa, Hebu tutolee hizo picha zilizojaa ma.vu.zi na chupi zenye mrundikano wa chawa na kunguni kwa wakati mmoja.!! Watu wenyewe inaonekana wana aleji na Maji, Sabuni pamoja Dodoki..!! BACK TANGANYIKA Click to expand... Lipumba akiungana na ACT basi atazoa kura nyingi sana Kigoma, aangalie uwezekano huo!
respect wa boda JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 4,556 Reaction score 3,844 Jul 5, 2015 #22 Masonjo said: Lipumba akiungana na ACT basi atazoa kura nyingi sana Kigoma, aangalie uwezekano huo! Click to expand... Kitu ambacho ninauhakika nacho ni kwamba, Lipumba hajafikia viwango hivyo vya upumbavu! BACK TANGANYIKA
Masonjo said: Lipumba akiungana na ACT basi atazoa kura nyingi sana Kigoma, aangalie uwezekano huo! Click to expand... Kitu ambacho ninauhakika nacho ni kwamba, Lipumba hajafikia viwango hivyo vya upumbavu! BACK TANGANYIKA
B Baba Hellen JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 763 Reaction score 91 Jul 5, 2015 #23 Masihara kwenye issue nyeti kweli
BENCO Senior Member Joined Nov 27, 2013 Posts 107 Reaction score 11 Jul 5, 2015 #24 Kama umeangalia taarfa ya habari ITV saa mbili usiku inadhihirisha kuwa mleta mada ni muongo