mbona maguful alisema peoples huko mwanza na tunduma akaonesha ishara ya vidole viwili?
Lini? Acha uongo! Mgombea wenu ni ticking bomb mnatembea naye ngoja awalipukie!
embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila ccm oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.
Alimanisha si bado mwanachama, ametolewa kwa mkopo atarudi.Kama ni kweli hilo lilitokea jana Nzega Lowasa na mjadala. tongue.
Source: RFA magazetin.
embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila ccm oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.
Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
Savimbi mbona wewe uanavaa gwanda halafu EL Hutaki kumuazima?Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
Mifano yako haiendani. Kwani Makamba anagombea urais?Haaa kuchanganya kwenye matamshi ipo,mbona makamba akisema Lowassa amehamia CCM mpaka akaja mtu na kikaratasi ndio akasema amehamia UKAWA ,pili mtangazaji wa Azam Ndugu Yahya Mohammed alishawahi kusema unaangalia Star Tv wakati ilikuwa Azam Two.
Mifano yako haiendani. Kwani Makamba anagombea urais?