Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Haya ndio CHADEMA wanatakiwa ku focus nayo, sio kujibu press conference za viongozi wa zamani wanabishana sijui na wake zao wa zamani na Tundu Lissu. Sijui kwa nini kina Mbowe na uzoefu wote ule hawayajui haya.
mh. El bado anamahaba na ccm, nasikia akajisahau hapo nzega na kusema "ccm oyeee"(chanzo magazeti rfa.)
mbona maguful alisema peoples huko mwanza na tunduma akaonesha ishara ya vidole viwili?