respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watatu hawajafika itabidi Chadema kwanza ndiyo awe mchangiaji kila post.
Ila tuwe wakweli ritz akili zako umekopeshwa na taahira mkuu hapa jukwaani laki si pesa yaani inapwaya kila siku zinavyozidi kusogea..!!
Sasa ndugu yangu hii post yako imewekwa saa moja, wewe unadai muda huo ni saa mbili..!! Jamani, hata yule zumbukuku kubwa la Mataahira ya Lumumba Laki si pesa akisoma hii atakushangaa..!!!
BACK TANGANYIKA
Last edited by a moderator: