Mkutano wa hadhara Chadema kata ya Themi

Mkutano wa hadhara Chadema kata ya Themi

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
MKUTANO WA HADHARA KATA YA THEMI ARUSHA- utakaofanyika Kesho kwanzia saa nane mchana katika viwanja vya Hamadi nanenane viongozi mbalimbali wa chama watakuwepo wote Mnakaribishwa. Arnold Ringo Katibu wa Kata
 
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watatu hawajafika itabidi Chadema kwanza ndiyo awe mchangiaji kila post.
 
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watu hawajafika.

Umewekwa saa ngapi wewe mnywa viroba
 
Mkutano umedoda, Wana Arusha wameichoka Chadema
 
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watatu hawajafika itabidi Chadema kwanza ndiyo awe mchangiaji kila post.

Tulia ww dawa ikuingie
 
Mkutano umedoda, Wana Arusha wameichoka Chadema

Ww na bibi yako labda bt si wanaarusha mkutano wa juz mlikimbia ile nyomi hamkosema chochote, now unajidai kulopoka hapa kama mke wa baloz wa ccm.
 
Arusha na chadema ni mdomo na mate, haiwezekani yeyote duniani hapa wa kutenganisha Chadema na Ars.
Chadema ni mpango mzima nchi nzima.
Ukawa kama Kawa
 
CHADEMA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Peoples' powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
October kitaeleweka tuu
 
Tutaendelea kuwakimbiza ile mbaya wamesahau 5 bila hatutatingisika na watoto wa Lumumba waliouza utu wao kwa buku 7
 
Kamamda ommy nasikia wale wa lowasa wanachanganyikiwa

Wamechanganyikiwa ile mbaya na sisi utunasema hv kula kwa lowasa kura Ukawa, kodi zetu hizo hili lifisidak linendelea kugawa pesa tu, na ataliwa kwl nani wa kudanganyika na 10000 halafu aje apate mateso ya miaka 10 kama yupo jahanam hatukubal, mateso ya miaka 52 yatosha kwa Watanzania
 
Juzi Ngarenaro mliwapiga watoto wa shule kwenye mkutano wenu nyie wanywa viroba. Sasa mnataka kuleta fujo Themi? Huku tunaishi wastaarabu. Nendeni Unga Limited
 
Asante Sana Kamanda Chadema Kwanza Kesho tutakua kwenye viwanja vya Hamad karibu na nanenane njiro tutakua naviongozi wengi sana wa Chama karibuni sana
 
Juzi Ngarenaro mliwapiga watoto wa shule kwenye mkutano wenu nyie wanywa viroba. Sasa mnataka kuleta fujo Themi? Huku tunaishi wastaarabu. Nendeni Unga Limited
Hakuna aliyepigwa nakukaribisha kesho ujione siasa za kistarabu za chademe kesho
 
Back
Top Bottom