Mkutano wa G. Lema Arusha Kijenge Kaskazini

Mkutano wa G. Lema Arusha Kijenge Kaskazini

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Tuko hapa tunasikiliza mbunge wetu na madiwani wetu hapa CHADEMA mbele kwa mbele.

1476884696315.jpg
1476884707020.jpg
1476884716330.jpg
 
lema ndiyo kaingia ikapigwa nyimbo ya snura majanga mbona majanga kujenga tujenge sisi sifa wa chukue wao mbona majanga by lema
 
Haya utuandikie amesemaje kama kiwanja chake, na nani mmiliki rasmi wa jengo hilo na pia litasimamiwa na nani.

Mimi napenda kufahamu.
 
Back
Top Bottom