Wakuu mkutano ndo umeanza na ameanza Mwita Waitara na ss anaongea Dev Silinde na anazungumzia kilichotokea bungeni na jinsi magamba walivyokurupukia katiba mpya na jinsi mchakato ulivyowashinda kwa kuwa haikuwa hoja yao suala la katiba mpya. Soon anafuatia Sugu....huyu jamaa WAITARA nilikuwa namwamini mkuu ila siku 1 niliwahi kumkuta sehemu akiwa na shibuda wanapanga mipango ya kubomoa wenzao wa CHADEMA kwa kweli simwamini tena
katiba siyo ya ccm wala cdm hivyo hoja ni ya kipuuzi na kwa swala hili kila mtu aachwe na akubaliwe kwa mawazo yake
nasikia wamehudhuria watu watano tu
Wakuu
mkutano ndo umeanza na ameanza Mwita Waitara na ss anaongea Dev Silinde
na anazungumzia kilichotokea bungeni na jinsi magamba walivyokurupukia
katiba mpya na jinsi mchakato ulivyowashinda kwa kuwa haikuwa hoja yao
suala la katiba mpya. Soon anafuatia Sugu....huyu jamaa WAITARA nilikuwa
namwamini mkuu ila siku 1 niliwahi kumkuta sehemu akiwa na shibuda
wanapanga mipango ya kubomoa wenzao wa CHADEMA kwa kweli simwamini
tena
Wakuu habari!
Leo unafanyika mkutano wa hadhara wa CHADEMA utakaohutubiwa na dk. Slaa
kata ya Ubaruku Mbarali. Na sasa makamanda kutoka maeneo mbalimbali ya
wilaya ya Mbarali ndo wanawasili.
Nitatoa dondoo mkutano utakavyokuwa unaendelea.
dr slaa lazima awe rais wetu hata sisi wanaofikiria tunampinga kwa mantiki ya udini tuko naye sana
sisi wana mbalali tunawachora tu afu mkindoka tunawasahu ccm ndio habari ya mjini naomba balozi wa china aje na huku mbalali afungue viwanda tunatka maendeleo hatutaki maandamano
kidumu chama tawala
CCM Mbarali imebaki Rujewa tu na ni sababu ya njaa za wavivu kama wewe hamtaki kufanya kazi mnapenda kuolewa kwa waburushi. AMKENI!
nasikia wamehudhuria watu watano tu
sisi wana mbalali tunawachora tu afu mkindoka tunawasahu ccm ndio habari ya mjini naomba balozi wa china aje na huku mbalali afungue viwanda tunatka maendeleo hatutaki maandamano
kidumu chama tawala