Ccm by by Mkoa kaskazini UNGUJA
Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.
Sera hufuta wananchi sio wananchi kufuata sera ambazo za watu wachache wenye kujinufaisha wao peke yao kwa maslahi yao binafsi, ndio ccm, sasa nananchi wameamka wanajua wapi pa kuelekea.
Hongera CUF, MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR SOON
[h=1]Ccm by by kaskazini UNGUJA[/h] Written by Ghalib // 10/06/2013 // Habari // 1 Comment
Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.
wote wamevaa yeboyebo chezea tanganyika wewe, kweli wapewe nchi yao maana hali ni mbaya kwao.
Hakuna ishara inayoshabihiana na ujumbe wako, fafanua tukuelewe hii inawezekana ikawa foreni ya ugawaji wa mahindi maana haionyeshi dalili yeyote ya tukio la kisiasa maana hakuna bendera wala dalili zozote za chama chochote cha siasa.
Mkuu umenena,hata mavazi hayaashirii ni mkutano wa CUF,hata mavazi meupe au kanzu na baraghashia hamna
inaelea au inazama ?naiona tanganyika ileeeee...