Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

Mm mpaka sasa sijajua wanachogombania ccm na vyama vingine kwenye hii nchi. Kila siku polisi mara bungeni shida. Mara wamezuiliwa hiki mara kile hapana. Nini shida kwani jamani? Kama siasa hazitakiwi nchini mwetu waseme tu ili watu wafanye mengine
Siasa zinatakiwa zenye kuleta maendeleo sio kuuza sura eti op Sijui Linda Demokrasia! Kama kungekuwa hakuna Demokrasia wao wangechaguliwaje kuwa wabunge wakati hakuna Demokrasia?
 
Issue za baba Jesca hata Jesca mwenyewe hawezi mtete.

JK as Chairman wa maCCM ameshindwa kujizuia hisia zake. Kashindwa kumbeba baba Jessica

Ukweli una tabia Moja ya kuwa kweli siku zote.

Huko kwenu Sukari ni shilling ngapilakini pia leo Ewura wamerangaza kuna uhaba wa petrol nchini.

Baba Jes sasa yeye na makanisa kuyawekea lami vipi kuhusu misikiti?
Yaani chadema kila mnachiulizwa majibu yenu ni sukari tu! Sasa mbona hamkuandaa maandamano ya kudai sukari badala yake mnaleta usanii mtupu na vurugu zisizo na maana!
 
Umeeleweka, asiyekuelewa atakuwa baba jesca.
 
Yaani chadema kila mnachiulizwa majibu yenu ni sukari tu! Sasa mbona hamkuandaa maandamano ya kudai sukari badala yake mnaleta usanii mtupu na vurugu zisizo na maana!
Sukari sio issue tena kwa sasa, inapatikana kila sehemu kwa bei ya chupa moja ya nusu lita ya bia. Tatizo sio upatikanaji wa Sukari, tatizo ni umaskini wa waTZ. Ukiwa na mapene, sukari iko bweleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Siasa zinatakiwa zenye kuleta maendeleo sio kuuza sura eti op Sijui Linda Demokrasia! Kama kungekuwa hakuna Demokrasia wao wangechaguliwaje kuwa wabunge wakati hakuna Demokrasia?
Hoja yako ni ya msingi sana. Hebu tujiulize kweli hawa wanasiasa tunaowachagua wanafanya kazi kwa ushirikiano? Au wengine wanabaguliwa ili kuwakomesha wananchi waliowachagua? Hebu tuanze na hapo tuache siasa za ushabiki
 
Back
Top Bottom