Mkutano wa CHADEMA Wadoda ile mbaya

Mkutano wa CHADEMA Wadoda ile mbaya

Hujaeleweka bado


Picha yako umepiga mbele kumwonyesha mzungumzaji ulitegemea wazungmzaji wajae kwenye kwenye jukwaa wawe wangap??

Hadhira umeiacha mbele unapiga wanyumba hukuliona hilo kuwa utashtukiwa??

Au ulijua utaumbuka??


Viva Lowassa Raisi 2015/25
 
Na huu wa jana wilaya ya Ruangwa bab duni akiwa na nyomi ya watu
 
Unaposoma baadhi ya comments za watu flani flani, unaanza kuelewa kwa mbaaaali baadhi ya findings za ile report tata ya TWAWEZA
 
unnamed%2B%25281%2529.png
 
Mazingira ya huu mkutano kama hao watu jukwaa na kivuli chake inaonekana ni kijijini sana kwahivyo bila shaka hadhira hiyo ni haki kwa huyo mgombea
 
Back
Top Bottom