Mkutano wa CHADEMA Shinyanga kesho

Mkutano wa CHADEMA Shinyanga kesho

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
259
Reaction score
78
Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani
 
Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani
unaambiwa uwe na MASIKIO KAMA ANTENNA , ulitakiwa kusikiliza vizuri sana mkuu .
 
Kwani mkutano mpaka aje mtu fulani toka sehemu nyingine!?. Hata viongozi wa hapa wanatosha saaana!!!

Anyway, kuna ziara ya Katibu mkuu Bavicha nilisikia majuzi huenda akawa ni yeye. Kama si yeye basi atakuwa ni NKMZ Salum Mwalim.
 
Back
Top Bottom